Occupational Safety and Health Authority
  +255-22-2760548 / 2760552       info@osha.go.tz                     

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Online Services

Card image cap
MFUMO WA USIMAMIZI WA TAARIFA ZA MAENEO YA KAZI (WIMS)

Mfumo wa Usimamzi wa Maeneo ya Kazi wa OSHA unawawezesha wamiliki au wasimamizi wa maeneo ya kazi kufanya usajili wa maeneo yao, kulipia gharama za huduma, kujiandikisha kwa ajili ya mafunzo, kuomba kufanyiwa ukaguzi pamoja na kuwasilisha taarifa za ajali pindi zinapotokea.

Tumia mfumo
Card image cap
Barua pepe ya serikali

Mfumo wa Baruapepe Serikalini(gms)

Mfumo wa Baruapepe Serikalini (GMS) ni mfumo salama wa mawasiliano na kubadilishana taarifa Serikalini. GMS ina mionekano miwili tofauti kwa mteja ambayo ni tovuti na desktop. Kwa kutumia mwonekano wa tovuti, masharti yanayotakiwa ni kuvinjari kwenye kitumi kilichounganishwa na intaneti. 

Tumia mfumo
Card image cap
Mfumo wa Ofisi Mtandao (GeOS)

Mfumo wa Ofisi Mtandao (GeOS
Mfumo wa Ofisi Mtandao umetengenezwa ili kuwezesha na kurahisisha shughuli za utawala za kila siku ndani ya Serikali. Shughuli hizo zinahusu mzunguko wa mafaili na nyaraka ndani na miongoni mwa taasisi za umma.

Tumia mfumo
Card image cap
MFUMO WA UNUNUZI NA UGAVI SERIKALINI

Mfumo wa Ununuzi na Ugavi Serikalini (TANePS) ni mfumo wa kieletroniki ambao umeundwa kwa mujibu wa mahitaji ya Sheria za Ununuzi ya Umma kwa lengo la kuwezesha shughuli za ununuzi  hapa nchini. mfumo huu unaweka mazingira salama, shirikishi na yanayokwenda na wakati katika kufanya manunuzi wa aina mbali mbali.

Tumia mfumo
Card image cap
E-Mrejesho

E-mrejesho ni mfumo wa kutuma na kupokea malalamiko pamoja na maulizo kutoka kwa wananchi.

Tumia mfumo