Occupational Safety and Health Authority
  +255-22-2760548 / 2760552       info@osha.go.tz                     

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

OCCUPATIONAL SAFETY AND HEALTH AUTHORITY

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

OCCUPATIONAL SAFETY AND HEALTH AUTHORITY

OSHA Offices

Zonal Offices Profile

Kama njia mojawapo ya kusambaza huduma zake nchini kote, OSHA Iliona umuhumu wa kuandaa mpango wa uendeshaji ambao ni rahisi na wenye ufanisi kwa ajili ya kuendesha shughuli zake na iliamua kuunda mtandano wa ofisi za kanda unaounganisha OSHA na wateja wake. 
Mkoa wa Dar es Salaam ulionekana kuwa mahali mwafaka kwa ajili ya makao makuu ya taasisi; ikisaidiwa na ofisi sita za kanda zinazohudumia maeneo ya kanda ya Pwani, kanda ya Kati,  kanda ya Kaskazini, kanda ya Ziwa, kanda ya Kusini na kanda ya Nyanda za Juu Kusini

OSHA OFFICES WITHIN OUR COUNTRY