Khadija Mwenda
Kaimu Mtendaji Mkuu

Makao makuu

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi,
S.L.P 519,
Dar es Salaam

Nukushi : +255-22-2760552
Simu : +255-22-2760548/2760552
Barua pepe : info@osha.go.tz

Katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Afya na Usalama Sehemu za kazi mwaka huu 2018, Meneja wa Kanda ya Ziwa ndugu Mohammed Shenduli Mjawa akiwapa mafunzo ya usalama na afya wachimbaji wadogowadogo mjini Kahama

Mafunzo kwa wachimbaji wadogo wadogo Kahama kujikinga na madhara yanayosababishwa na kutozingatia miongozo ya kinga sehemu za kazi

Naibu Waziri wa Madini akizindua mafunzo kwa wachimabaji wadogo Wilaya ya Kahama katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya siku ya Afya na Usalama Duniani 2018

Katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Afya na usalama Sehemu za kazi Mafunzo ya Afya na Usalama yakiendelea kwa Wachimbaji wadogo wadogo wilayani Kahama

Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Afya na Usalama Duniani Aprili 28 mwaka huu Mkaguzi wa Mazingira wa OSHA ndugu Renatus Qalqal akiendesha mafunzo kwa wachimbaji wadogo Wilayani Chunya

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Zephania Chaula (watatu kushoto waliokaa) na kamati yake ya ulinzi na usalama pamoja na wakufunzi wa OSHA baada ya Mafunzo kwa wachimbaji wadogowadogo wilayani humo