Occupational Safety and Health Authority
  +255-22-2760548 / 2760552       info@osha.go.tz                     

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

OCCUPATIONAL SAFETY AND HEALTH AUTHORITY

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

OCCUPATIONAL SAFETY AND HEALTH AUTHORITY

Image
  • Monday 5th of May 2025

Serikali yasisitiza utamaduni wa kujikinga, Tanzania ikiadhimisha Siku ya Usalama na Afya Duniani Mkoani Singida

Serikali imetoa wito kwa waajiri, wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kujenga utamaduni wa kujikinga dhidi ya ajali na magonjwa mahali pa kazi ili kuepuka athari... Read More
Image
  • Tuesday 21st of January 2025

SERIKALI YAPEWA KONGOLE KWA KUIMARISHA USTAWI WA WANANCHI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuimarisha ustawi na maendeleo ya Watanzania katika sekta ra... Read More
Image
  • Friday 20th of December 2024

Katibu Mkuu Kazi awafunda watumishi wa OSHA masuala ya kiutendaji

Watumishi wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) wametakiwa kuzingatia weledi katika kutekeleza jukumu lao la msingi la kusimamia usalama na afya ma... Read More
Image
  • Tuesday 17th of December 2024

Serikali yaahidi kuendelea kupigania haki za wenye ulemavu

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuwa mstari wa mbele kupigania usawa katika masuala ya kazi kwa watu wote bila kujali hali zao ikiwemo kuhimiza uwepo wa... Read More
Image
  • Friday 18th of October 2024

Kamati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yaja Bara kujifunza Usalama na Afya kazini

Na Mwandishi WetuKamati ya Kudumu ya Utalii, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibarimetembelea Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) pam... Read More